Caribbean forum pictures video guides and local maps
Loading...
Loading...
Mishahara mipya lazima - Serikali
Serikali imekiagiza Chama cha Waajiri Nchini kuhakikisha kuwa waajiri katika sekta binafsi, wanawalipa wafanyakazi wao viwango vipya vya mishahara vilivyotangazwa na serikali kuanzia Januari, mwakani.